KICHAA NA MIMBA YA BOSS😍 SEHEMU YA KUMI*

KICHAA NA MIMBA YA BOSS😍 SEHEMU YA KUMI*

Kila siku zilivyozudi kwenda Shahid alikuwa akiumizwa na swala la Shania alitamani kufanya. kitu kwaajili yake. Alitamani kujua shania anaishi wapi? Pia alikuwa anatamani kukutana na ndugu wa Shania. Siku moja ilikuwa siku ya jumamosi Shahid aliamua kutoka nyumbani kwake na kumfuata yule kijana muuza chips. Karibu bro. Asante, sasa dogo mimi nilikuwa nina shida naomba unisaidie. 'Shida gani kaka? "Nilikuwa naomba unipeleke kwenye nyumba anayoishi Shania na shangazi yake. Mmmmh kaka kwema? "Kwema. Basi sawa nitakupeleke mara moja alafu mimi nirudi kwenye shughuli zangu. "Poa. Yule kijana aliongozana na Shahid mpaka kwenye gari wanapanda na kijana akaanza kutoa maelekezo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments