
Tulipata taarifa, na mama Najma alitangaza vita na Mama mkwe na Naseer, ilibidi Naseer amtumie majibu yake na hali yake wakati yuko India kwenye matibabu kwa ajili ya Najma alimtumia na ujumbe niliugua miezi 6 Niko India kwa ajili ya binti yako ulitaka nirudiane nae tena nife ama lengo lako lilikuwa nini? Alituma pia kwa mama ake, mama mkwe hakujua kama mwanae aliambukizwa ugonjwa mkubwa vile yeye alijua tu ni mambo ya afya, imegoma, alichoka, ila tamaa ndio ilimjaa akawa hajazingatia hilo akaendelea na lawama, mama Najma alikaa kimya hakujibu chochote... Najma yeye alivyoona ameshazagaa aliamua kuchukulia poa nakuamua kufanya
0 Comments