
...Chapter 12 "Naitwa Edward marco, na Yule unaemuona kwell ni baba yangu, alimuoa mama yangu miaka kadhaa nyuma na walikuwa wanaonekana kama wanapendana sana, maana walikuwa wanatembea pamoja na kufanya vitu vingi sana pamoja, mpaka wakati ambapo nazaliwa basi nilizaliwa kwenye familia yenye upendo sana..... Sikuwah kuwaza wala kufikiria kuwa baba yangu alikuwa amemuoa mama yangu kimaslai maana mama yangu alikuwa ni miongoni mwa watu ambao walitoka kwenye familia nzuri sana, familia ambayo ilikuwa maarufu na pia, familia ambayo ilikuwa inajiweza sana kikipato.. Kumbe alioa kwa malengo yake na alikuwa ana ndoa nyingine ya kanisan kabisa,na alikuja kwa mama yangu
0 Comments