SIKUJUA LECTURER NI MJEDA 10 Alijua kuwa anatengeneza ukaribu kati yetu Kumbe

SIKUJUA LECTURER NI MJEDA 10  Alijua kuwa anatengeneza ukaribu kati yetu Kumbe

ndio alikuwa anazidi kuharibu mara dufu yaan... Maisha yangu yakawa yanaendelea ila nilikuwa nina mawazo sana kuhusu hatma yangu, siku ambayo wazaz wangu watakuja kujua kuwa sijafanya mitihan ya mwisho na siwez kupata cheti na wakati ndio wananitegemea, nilikuwa nahisi kuishiwa nguvu... Siku ilipita ila kwa tabu nayo, kesho yake nikatoka nikaenda chuo maana kuna mashoga zangu hawakuwa wamemaliza mitihan maana wao walikuwa kwenye mchepuo tofauti na ambao nachukua mimi... Nilipofika nikashangaa nakutana na ex boyfriend aliponiona alanifata na kuanza kunitukana.. "Unajua kabisa wewe sio mwanachuo na huwez kupata cheti, ila unakosa aibu na kuendelea kuja chuon, unataka uwaponze na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments