CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 5 Acha niendelee kulia tena kwa sauti kubwa😫😩😭, maan nilivyokumbatiwa kwa nguvu pale siwez

CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 5 Acha niendelee kulia tena kwa sauti kubwa😫😩😭, maan nilivyokumbatiwa kwa nguvu pale siwez

hat kujitoa hata nikagalala jamani, Naseer akanambia nitulie kwanza ninyamaze , afu nimwambie shida nini ndio kam vile akanambia niendelee kulia maana nililia kwa uchungu lakin bado sijamwambia kuna tatiz gani , akanambia "kuwa huru wewe ulinisaidia na mimi nataka nikusaidie Wewe una maanisha mengi kwenye maisha yangu jue Nasma?", mimi bado nalia tu sielewi chochote pale, akanambia "tulia kwanza" akanipa maji akanibeba akaniweka kwenye kiti, akanituliza akawa kapiga goti huku kanishika mikono kama mtoto etty ananifuta🥹😢 machozi jaman hhh🥹 akanambia "niambie mamaa shida ni nini" huku ananitizama kwa makini nikamwambia huku ile kwikwi ya machozi haijatoka "ujue Kareem kanipigia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments