
Rebeiro ameonyesha uwezo wake akiwa na vilabu vikubwa barani Afrika kama:
⚽ Orlando Pirates πΏπ¦
⚽ Al Ahly πͺπ¬
Sasa macho yote yako kwa Simba SC πΉπΏ, ambapo anatajwa kuwa chaguo namba moja kuchukua mikoba ya benchi la ufundi. π΄⚪
Mashabiki wa Simba wanasubiri kwa hamu kuthibitishwa kwa dili hili kubwa!
Soma zaidi
0 Comments