ONE NIGHT ONE MISTAKE ____________________________________* *SEHEMU YA SITA* Siku Iliyofuata Salsa alienda kazini akiwa na shauku ya kusema

ONE NIGHT ONE MISTAKE ____________________________________*  *SEHEMU YA SITA*  Siku Iliyofuata Salsa alienda kazini akiwa na shauku ya kusema

ukweli yani liwalo na liwe hata kama ikitokea kuachishwa kazi lakini lazima amwambie ukweli boss Romex kuwa mimba aliyobeba ni yake. Kwenye pochi yake akibeba ile hereni moja kwaajili ya ushahidi. Wakati huo Romex nae alikuwa chumbani kwake. akliangalia ile hereni. "Kwahiyo huyo mwanamke kaamua kumuachia hereni kama ukumbusho wake? lle siku sitakuwa kuisahau itabaki akilini kwangu siku zote za maisha yangu. Alipomaliza kuangalia ile hereni aliurudisha kwenye bahasha ndogo na kuiweka kwenye mfuko wa suruali alienda kuchukua viatu akavaa kisha akaenda kuchukua koti lake la suti. Lilikuwa ni koti lile alichaguliwa na Salsa ile siku ya kwanza walipokutana Aliingiza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments