*CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *1-3* *______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Hivii we huoni aibu mchumba mwaka wa pili huu ni mchumba tu yaani barua tu basi

*CEO USINIVUE  MI MCHUMBA WA MTU* *1-3* *______________________________________*       *SEHEMU YA KWANZA*  Hivii we huoni aibu mchumba mwaka wa pili huu ni mchumba tu yaani barua tu basi

, wee hushtuki? Alikuwa ananiambia dada yangu Mariam maana kwetu tumezaliwa watatu, wa kwanza dada angu wa pili mimi hapa Salma na watatu mdogo wetu wa kiume anaitwa Ismail lakini yeye yupo huko kijijini na wazazi wetu sisi tupo hapa mjini tunajitafuta tafuta ili kukidhi mahitaji yetu ya kila siku na pale nyumbani maana hata wazazi wetu wanatutegemea sisi wenyewe , na kwenye familia yetu mimi peke yangu ndio nimesoma maan huyo dada angu niseme tu ukweli akili za shule hakuwa nazo kabisa na jinsi maisha yalivyokuwa magumu mhh akaamua aacha me nisome huyo mdoho wangu ndio kabisa hana akili

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments