BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 14 "Sitaki pesa, nataka kucheza na wewe muziki," Gian aliongea huku anatabasamu.

BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 14 "Sitaki pesa, nataka kucheza na wewe muziki," Gian aliongea huku anatabasamu.

"Siwezi kucheza, kwaheri," Mia aliingia msalani. Baada ya dakika chache alitoka, akashangaa kumkuta Gian bado yupo nje. "Bado upo hapa, unasubiri nini?" Mia alimuuliza Gian. "Nimeshakwambia nataka kucheza na wewe," alisema Gian huku akiweka mikono yake kwenye mifuko ya suruali. "Nimeshakwambia siwezi kucheza, sasa unataka nini tena? Acha kunifuata-fuata, ona watu wanavyotuangalia," Mia alilalamika. "Ukikubali tu kucheza na mimi sitakufuata tena," alisema Gian. Mia aliamua kukubali kucheza na Gian. "Umemuona dogo?" Gavin alimuuliza Gael. "Yuko wapi?" "Yule pale anacheza muziki, sikudhani kama anaweza kukubali kucheza na mwanamke yoyote leo." "Mia..." Gael alimuangalia Mia alivyopendeza na jinsi alivyotabasamu kila mara huku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments