
*CHAGUO SAHIHI* SEHEMU YA....2 Na Mamuh mohd (0716730000) Tulipoishia..... "Hapana isiwe kweli, naamini Joan anatania tu, dada Yasinta lisikupate hili usiniache na siri kubwa isiwe kweli". Alijisemea manga huku akihisi kubleed muda huo huo... SONGA NAYO...... Baada ya masaa matatu kupita pia baba yake Na Jaden alifika Mkoani Kilimanjaro kwa usafiri wa ndege hadi Sehemu husika. Alikuta hali halisi kijana wake hali ni mbaya hadi kapelekwa ICU na mkwewe hayupo tena. ilibidi kwa siku ile wasikilizie hali ya Jaden lakini mpaka usiku unaingia hakufika ICU Wodi ndipo akaomba wahamishwe daresalam. Jarden alihamisha kupitia gari ya wagonjwa usiku ule huku Baba
0 Comments