*CHAGUO SAHIHI* SEHEMU YA....8 Na 9

*CHAGUO SAHIHI*  SEHEMU YA....8 Na 9

*CHAGUO SAHIHI* SEHEMU YA....8 Na Mamuh Mohd 0716730000 Tulipoishia.... "Hilo niachie mimi usiku nitazungumza nae". Walifurahi wenyewe Jarden na mama yake.... SONGA NAYO...... Basi majira ya Usiku kweli mama Jarden alimuita manga chumbani kwake. "Mama kwema kweli? Kiukweli nimeshtuka sana" "Kuwa na amani binti yangu. Nataka leo wewe na mjukuu wangu wote mlale chumbani kwangu". Manga hakuwa na hiyana ivyo alikwenda chumbani kwa mama Jarden akiwa na mtoto yule nafsa. Walianza kuzungumza mambo mbalimbali, mama Jarden ndipo akaanza kwa kumuuliza, "Manga mwanangu bi hautamani labda siku upate mume uolewe na ukaanzishe familia yako". "Mama hiyo ni ndoto ya kila mwanamke

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments