
*CHAGUO SAHIHI* SEHEMU YA....6 Na Mamuh Mohd (0716730000) Tulipoishia..... Manga alimshika mkono boss wake huyo Taratibu walielekea katika boda boda ile wakapanda wote mishikaki kurudi nyumbani..... SONGA NAYO........ Majira ya usiku Nyumbani alifika mwanasheria wa Mr Jarden. Kufika alisema kuwa anahitaji kuzungumza na Joan lakini cha ajabu Joan hakuwepo nyumbani wakati ule. Jarden Ndipo akamuambia, "Karibu na kama kuna chochote niambie tu mimi nipo kijana mkubwa". "Hapana wewe sio kijana wake Hilo lipo wazi mtoto wake wa pekee ni Joan". Unapewa mwezi mmoja tu kurudisha kila kitu ambacho unakitumia cha hayati Rich Jarden". "Hapana shida sio mali bali ni baba
0 Comments