CHANZO NI BOSS 03

CHANZO NI BOSS 03

ENDELEA.... Mwanzo nilijua Isaac anatania lakini kumbe mwenzangu alidhamilia kukataa, alishikilia msimamo wake na kugoma kabisa kufunga ndoa na mimi na nilivyofika nyumbani mama aliniuliza. "Mbona mapema tena Olivia au kuna kitu kimetokea kazini!?" "Nahisi kufa hapa nilipo" "Ufe kisa!?" Nilikaa chini nikiwa sina hamu na mama alikaa pembeni yangu na kuniuliza vizuri kipi kilichonikuta. Mdomo ulikuwa mzito kuongea mbele ya mama kuwa boss alinitaka hivyo nilibaki nikiyauma maneno yangu mbele yake. "Unajua sikuelewi Olivia, unazunguka na hutaki kuniambia kipi kilichokukuta" "Nashindwa pakuanzia!" "Anza vyovyote tu" "Boss ananitaka" "Anakutaka kivipi mfanyekazi pamoja au?" "Hapana sio kufanya kazi pamoja, anataka niwe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments