Ilikuwa ni kwenye tuzo za Hollywood mwaka 2000,Pale ambapo familia

Ilikuwa ni kwenye tuzo za Hollywood mwaka 2000,Pale ambapo familia

pekee iliyobaki duniani ya mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee.Hapo tunamuongelea Shannon Lee binti yake na mkewe Linda Lee waliamua kum surprise m China mwenzao Jet Li pale alipokuwa akienda kupewa tuzo kupitia movie yake ya "Romeo must Die",Na ndipo wakapata picha ya pamoja na Kwa wa China kupata picha ya pamoja na familia ya Bruce Lee kwao ni heshima kubwa sana.Na hata ukiangalia picha Jet Li anaonekana ni mtu mwenye furaha sana Naaam

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments