Chombezo : Mandogo Lisa Sehemu Ya : 2 … Mzee Bisu alibaki kumtumbulia macho kwa hasira akimuangalia mwanaye huyo akiingia chumbani kwake na kujifungia mlango... "

Chombezo : Mandogo Lisa  Sehemu Ya : 2  … Mzee Bisu alibaki kumtumbulia macho kwa hasira akimuangalia mwanaye huyo akiingia chumbani kwake na kujifungia mlango... "

"... hawa watoto wanataka kunipanda kichwani, alijisemea mzee Bisu huku akiingia chumbani kwake. ... sasa ntaleta mwanamke kisha nione watanifanya nini...”aliongea kisha ghafla alisimama katikati ya chumba na kujisemea tena. "... au huyu mtoto anaongea hivi kwa vile anajua siri yangu ya... aghrr..." Alijibwaga kitandani na kukaa huku akitafakari. Anajulikana kama Mzee Bisu lakini jina lake kamili anaitwa Henry Bisumagusa, huyu ni mfanyabiasha wa muda mrefu na ambaye biashara zake zilimletea mafanikio makubwa japo sio ya kutisha. alimiliki mjengo mkubwa wa kifahari na gari zake mbili za kifahari zilizomtosheleza yeye na familia yake. Mzee Bisu kama alivyojulikana na wengi, aliishi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments