
baadae waliweza kushauriana namna ya kufanya,Mwalimu John Charles hakuishia hapo aliendelea kumfuatilia Jesca bila kukata tamaa. ENDELEA.. Mwalimu John Charles aliweza kumpa Jesca vitisho akimwambia kuwa endapo hatoweza kukubali kuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi Lazima angeweza kumfelisha katika masomo yake, Mwalimu John baada ya kuona Jesca hataki kukubali kumpa penzi lake , alimuahidi Jesca kuwa lazima atafanya kitu kwake na kama hakitokuwa kwake bali kitakuwa kwa wanachuo wote wa mwaka wa mwisho katika chuo hicho ,ilifika wakati wa kufanya mitihani wanachuo wote walikuwa wakifanya mitihani hatimae ya kumaliza muhula wa kwanza,inayoweza kuwaruhusu kuingia muhula wa mwisho, wanachuo walifanya mitihani
0 Comments