
wake ambaye alimpenda sana jina lake aliitwa Jesca,mapenzi yao yaliweza kudumu kwa muda mrefu toka walipo kuwa wakisoma shule ya sekondari, wapenzi hao walikuwa wakiishi katika jiji la Arusha ,wote walikuwa wakisoma sekondari na walipo hitimu tu Elimu yao ya sekondari, Mungu si Athumani wote walifanikiwa kufaulu masomo yao na kuwaruhusu kuendelea hatua nyingine ya elimu. Mr Abby alifanikiwa kwenda chuo moja kwa moja alienda kusoma chuo cha Ualimu kilichokuwa kinapatikana Mwanza ila kwa upande wa Jesca yeye alifanikiwa kwenda kidato cha tano nakumalizia kidato cha sita mkoani Tabora,baada ya kumaliza kidato cha sita alifanikiwa kwenda chuo kikuu kinachoitwa UDSM
0 Comments