MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI KWETU morogoro SEHEMU YA 30* Wakati nafikilia cha kufanya Romy alinipigia tena akaniambia tayari wameshapata usafiri

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI KWETU morogoro   SEHEMU YA 30*  Wakati nafikilia cha kufanya Romy alinipigia tena akaniambia tayari wameshapata usafiri

akanipa nimwelekeze wa tax nyumbani kwetu awalete😝😝 Alidai anakuja na rafiki yake waliyekutana huko Arusha kwenye mkutano...nyieee sikuwa na cha kufanya nilimwelekeza Dereva ila nilimwelekezea njia ya kuzunguka ili wachelewe kufika😝 Niliwaza niwaambie majirani waje wajae jae pale home lakini mmhhh badae watanionaje😝😝😝nilitamani nipate mtu wa kunishauri juu ya hili lakini mwenzenu sina hata marafiki😞😞 Acha tu Romy afike akiniamini sawa asiponiamini pia it's okay... Mida ya saa moja kuelekea saa mbili Romy alinipigia akaniambia dereva amefika sehemu niliyomwelekeza nilitoka nikaenda kuwachukua nikawaleta nyumbani.. Baada ya kuwafikisha ndani nilikaa nao hapo sebleni kwenye mkeka🙈🙈ndani kwetu siyo pazuri jamani.. Kwanza nyumba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments