CHUMBANI KWETU 💚 1 naitwa zawadi,story

CHUMBANI KWETU 💚 1  naitwa zawadi,story

yangu inaanzia wakati nina miaka kumi na saba, siku moja wazazi wangu walinambia kuwa naolewa siku chache zijazo🥺 nijiandae dah sikuwa tayari kuolewa wakati huo lakini wazazi wakaniforce sikua na namna😔afu kibaya mtu mwenyewe anaenioa simjui🙄 zaidi tu kuna mzee anaitwa mzee jabir ndo alikuja kusema Kuna mtoto wa dada ake ndo anataka mke na yeye kaniona mimi🥺basi mimi nilikua sitaki lakini wazazi wangu hawakutaka kunielewa😂😂😂 nikamuomba rafiki angu ushauri anaitwa bety akanambia nisikatae bahati kama nikienda uko nsipomridhia mume nifanye visa mpaka niachwe💃 nikasema asante kipenzi 😘 ushauri mzuri sana basi nikafungishwa ndoa,siku ya ndoa yenyewe mume hakuja🤪🧐 nikaolewa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments