
"Keivo unasemaje!? Inabidi wote wafukuzwe Kazi au Siyo!??" Basi wakiwa wanarudi Hotelini Jovin alimuuliza keivo ambaye kwa kipindi hicho alikuwa ndo Mtu wake Wa Karibu?. Baada Ya Siku mbili Meneja Mpya kabisa aliletwa na mhasibu Mpya aliletwa, Meneja alikuwa ni kijana Steven ambaye kipindi Cha nyuma alikuwa anashirikiana na kina Jovin na akaamua kujitenga Yeye na wenzake!. Steve alipewa nafasi ile kwa Sababu alikuwa ni msomi mzuri tu, na Jovin ilibidi awaamini wale Jamaa Zake, Japo alikuwa anajua kipindi Cha nyuma walimsaliti kwa kupeleka taarifa kwa Mr Tamir!. Baada Ya meneja Mpya na mhasibu Mpya kikao kiliitishwa cha wafanyakazi Wote
0 Comments