CHUMBANI KWETU 💚 2 alikuwa tu mkaka flan smart,ana sifa zote za mwanaume mzuri, handsome, mtanashati😘😘💃nikajisemea

CHUMBANI KWETU 💚 2  alikuwa tu mkaka flan smart,ana sifa zote za mwanaume mzuri, handsome, mtanashati😘😘💃nikajisemea

lakini mbona kanipita miaka nilivyomkadiria nikaona anafika 27_30🙄 kifup sikumpenda🤔 akaanza tusalimia akamkumbatia mama ake🤔 akaja akampa mkono mzee jabir wakasalimia mara Mzee jabir amlaumu haji kumsalimia Kijijini akajibu majukumu meng amsamehe bure, akaja nipa mkono mimi mambo? poa mama mkwe akadakia ndo mkeo huyo ooh nashukuru kumfahamu karibu sana asante waitwa nani zawadi ok mimi naitwa amani nashukuru kukufahamu pia ok, akaondoka zake chumbani 🤔nawaza ndo nimfate au😂🤔 nkatulia tu kidogo ma mkwe akasema eti niende khaaa ma mkwe nae🥺🙄 nikaenda mdogo mdogo nikaingia kwa woga 🤔 nikakuta katoka kuoga yupo kifua wazi na kipens chake anachezea zake simu,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments