
tukaenda maduka ya nguo nikachagua nguo,viatu na mahitaji mengine,tukazunguka zunguka mjini mchana tukaingia hotel moja kula ,bas mhudumu mmoja akatukaribisha na alimchangamkia aman hatari🧐 umepotea sana amani nini shida? nipo majukumu tu karibuni sana asante karibu dada asante sio dada ni shem wako huyu ooh umeoa aman ndio aseee mimi nmefurah sana kusikia hivyo maana haikuwa rahisi ,nikawaza mbona kashangaa sana kusikia amani kaoa na haikuwa rahisi nini🤨... dah acha tu mapito ndugu yangu kabisa karibu shem asante yaani uwe unakuja hata bila ata uyu mumeo shemu wako niko hapa utanikuta jisikie upo nyumbani kabisa nashukuru sana 🙏 basi tukaagiza
0 Comments