CHUMBANI KWETU 💚 4 basi watu wanaanza kumuonea wivu betty🤣🤣🤣 ila nyie jamani nilimpa sababu alikuwa zaidi ya rafiki kwangu kanisaidia mengi,

CHUMBANI KWETU 💚 4   basi watu wanaanza kumuonea wivu betty🤣🤣🤣 ila nyie jamani nilimpa sababu alikuwa zaidi ya rafiki kwangu kanisaidia mengi,

kama ni hela zake alinipa na kunikopesha sana tu, na mama nisingempa maana nilikuwa bado nina kinyongo cha kuniforce niolewe😒💃 okay....! tunaendelea eee basi nikawa namwambia wifi si twende hata tukatembee tembee jamani mimi nilishazoea kuzurura bhana🤣🤣🤣..... kukaa ndani kama broiler inanikera basi nikamshawishi akasema basi ngoja twende kwa rafiki angu mmoja hivi ila hatukai sana tunarudi amani na aunt watukute tusharud hamna shida tukatoka tukaenda kuna sehemu mdada anauza ice cream na cone🍦🍧 akanambia ni rafiki ake anaitwa joy akatukaribisha pale akatupa na cone za ofa🍦 umepotea shogangu nipo si unajua kwetu pale kutoka ni tabu najionea hadi shida

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments