CHUMBANI KWETU 💚6 nilijuta kabisa😭😭😭 alivyomaliza akawa ananipa pole,sa mimi pole inanisaidia nini jamani ,akaenda

CHUMBANI KWETU 💚6  nilijuta kabisa😭😭😭 alivyomaliza akawa ananipa pole,sa mimi pole inanisaidia nini jamani ,akaenda

chemsha maji akanikandakanda akanipa na dawa nikameza nikalala na maumivu😭 asubuhi akaamka akaanza nihudumia adi raha 🥰🤣nikamtext betty mwenzio nimeumia😭😭eeh umeanguka au imekuaje,nikamuelezea akanicheka akasema tu pole ndo ukubwa🙄 basi hiyo siku sikutoka nje🤣hata mama na wifi walivyorud akawaambia nmelala2 najisikia vibaya🥺kesho yake pia sikutoka nikaja toka siku ya tatu🤪 basi ilikuwa jumatatu aman alivyorudi kazini akasema jumanne anasafiri anarudi jumapili , nikasema sawa akaondoka zake usiku nikaingia zangu kulala mwenyewe nikasema kumbe aman hana tatizo 🙄 nikawa nakumbuka vile alivyokuwa ananifanyia😉😘🙈lakini nikikumbuka maumivu nikasema simchokozi tena🙈 akanitumia sms uwe na usiku mwema roommate, usiache kujifunika nakupenda❤🥰 wee ndo kwanza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments