
kibongo bongo ni sawa na laki nane alafu pale hotel ninalipwa laki mbili na nusu kwa mwezi😃😃 Si bora kurisk kazi kuliko kuiacha hii safari😝😝😝kama kwa siku nitakuwa naingiziwa laki nane Bank then what kwanini nikatae?? Nilikubali bwana😃😃nilikwenda kwa meneja nikamwelezea hali halisi sikumficha😝😝😝meneja akaniambia kama naitaka kazi lazima niangalia cha kumpa ili aendelee kunihesabu kama mtumishi.. Alidai hakuna likizo kwa mfanyakazi mpya na isitoshe mimi ndo nilikuwa nimeajiriwa pale so aliniambia kama nataka ruhusa nimpe tamu🙄 Yani nikalale naye hahahaaa na mjue kipindi hiko bado nilikuwa sijatolewa hata hiyo bikra😃 yani usichana wangu nimenyima Hemed aje aule meneja wa
0 Comments