
, ana ukimwi sio wa kukaa naye karibu anatakiwa ale peke yake na alale peke yake" Alisema mama Bryton. ENDELEA SASA... "Mama maisha hayapo hivyo ukimwi sio Corona kusema kwamba kama anao ataambukiza wengine kwa njia ya hewa na sio wote waliopata ukimwi kwa kufanya zinaa wengine walizaliwa nao hivyo tusiwanyanyapae wagonjwa wa ukimwi" Bryton alimwambia mama yake. "We shauri yako unajifanya unamjua huyu binti kuliko sisi ambaye tuko naye siku zote haya endelea" alisema mama Bryton lakini Bryton hakuwa na muda huo wa kumsikiliza alichukua sahani mbili za chakula akazijaza chakula na kwenda kwenye kile chumba alipo Tabia akaanza
0 Comments