CHUMBANI KWETU 💚9 basi nikamwambia mume wangu akasema twende hospital nikafanyiwa uchunguzi

CHUMBANI KWETU 💚9  basi nikamwambia mume wangu akasema twende hospital nikafanyiwa uchunguzi

ikaonyesha ujauzito uko sawa,yaan sikuwa na tatizo sasa bleeding ya nini? 😔 nikawa na waswas sana mimba yangu itaharibika hapana hamna tatizo mke wangu tukarud nyumbani tuone kama itaendelea ✍🏻 ikapita wiki bleeding haikati😫🤔 mpaka siku kumi na mbili😭😭😭bado tu siku hiyo betty akaja aliomba ruhusa akaja nitembelea tukashinda wote bado akawa ananitia moyo maana mimi nilishaanza kuwa na waswas akanambia usiogope rafiki angu huu ujauzito hautoharibika utazaa salama kabisa na hiyo bleeding itakata akanishika na tumbo akaniombea nkamshukuru kwel kidogo nikapata moyo bas akaaga nikamwambia ngoja nikaoge tukusindikize mimi na wifi maana ilikua jion wif anantembezaga kufanya mazoezi🙏 nikaoga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments