SIKUJUA HOUSE GIRL NILIYEMTESA NI BINTI YANGU WA KUMZA😭😭😭🗣️ E P 06 Rabia alimchukua Bryton pale hospitalini hadi nyumbani kwake. Bryton alishangaa

SIKUJUA HOUSE GIRL NILIYEMTESA NI BINTI YANGU WA KUMZA😭😭😭🗣️  E P 06 Rabia alimchukua Bryton pale hospitalini hadi nyumbani kwake. Bryton alishangaa

sana anafikishwa kwenye jumba moja la samani lenye kila aina ya fenicha za kisasa. Alikaa kwenye kochi la leza nyeupe huku akipoozwa na kiyoyozi safi kilichokuwa mule sebuleni kwa Rabia. "Karibu kaka Bryton jisikie upo nyumbani!" Rabia alimwambia Bryton kisha akaenda kwenye friji na kuweka juice kwenye glass mbili akampatia Bryton naye akawa anakunywa huku akiwa amekaa pembeni ya Brton. "Enhe kaka unajua kuna kitu umeniambia pale hospitalini nikashangaa sana, hivi inawezekanaje sisi tuwe ndugu wa damu" Rabia alimuuliza Bryton. "Baada ya wewe kuondoka mama alianza kuadhibiwa na mizimu ikimsihi akitafute popote ulipo akuombe msamaha kwani wewe ni mwanae wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments