NILIJIFANYA KIPOFU ILI KUONA KAMA NI KWELI MKE WANGU ANAMAHUSIANO NA MDOGO WANGU 😨😨🗣️ EP 01. Mke wangu Suzy na mdogo wangu Max walipenda kuitana majina mengi tu ya kimahaba

NILIJIFANYA KIPOFU ILI KUONA  KAMA NI KWELI MKE WANGU ANAMAHUSIANO NA MDOGO WANGU 😨😨🗣️  EP 01. Mke wangu Suzy na mdogo wangu Max walipenda kuitana majina  mengi tu ya kimahaba

, wakati mwingine waliitaka mbele yangu lakini sikuwafikiria vibaya hata siku moja, kuna wakati Suzzy alimuita Max. "mume wangu, honey, sweet" na majina mengine tu mazuri ambayo wapenzi huitana, kwangu mimi niliona ni kawaida kwani mimi na Max ni ndugu wa damu na wala sikuwahi kufikiria kama Max anaweza kutembea na mke wangu Suzy. ANZA NAYO.. Baada ya mke wangu kwenda kulala na mimi nikazima Tv kisha nikamfuata chumbani kwani siku hiyo nilikuwa nina ham naye sana. Nilipoingia chumbani nilimkuta mke wangu Kalala, kavaa bukta mbili na jinsi ngumu sana kisha akafunga na kimkanda kigumu kweli. Nilishangaa sana kwani haikuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments