
Baada ya kupita miezi kadhaa tangu staa wa Bongo Fleva @diamondplatnumz athibitishe kuwa @mbosso_ ameondoka rasmi kwenye lebo ya @wcb_wasafi, mashabiki wengi walikuwa na hamu kubwa kuona mwelekeo mpya wa Mbosso kama msanii anayejitegemea. Hatimaye, Ijumaa iliyopita, Mbosso ameanza rasmi ukurasa mpya wa muziki wake kupitia lebo yake mpya @khanmusichq. Akiwa huru na mwenye maamuzi kamili juu ya kazi zake, amewapa mashabiki zawadi ya EP mpya yenye jina #RoomNumber3EP, ambayo ina jumla ya nyimbo 7 kali kabisa! 🎶 Kwa sasa, Mbosso yupo kwenye vita kali ya trending huko YouTube akichuana na bosi wake wa zamani Diamond Platnumz. Nyimbo yake #Pawa
0 Comments