
tafuta vitu hivi uandae Bomu lako
✍️Mbegu za mnaa naa
✍️Mbegu za mtunguja
✍️Ufuta
✍️Ulezi
✍️Magome mbuyu
✍️Kaanga vyote katika chungu upate usila unga kisha funga
ongeza dawa hizi
💥Mwavi
💥Mputika
✍️katika kitambaa cheusi kisha fukia katikati ya uwanja wako kwa manuizi ya kuwaangusha wachawi wanaokuendea kinyume katika eneo lako
Naam ni hatari asogei mchawi hapoo ndugu zangu
💯NAJIBU SWALI KWA WALE HAWAJUI MITI HAPO JUU MFANO MBEGU ZA MNAA NAA
MTI HUO PICHA YAKE HIPO GROUP HILI NILITOWA SOMO LAKE KUHUSU MITI HUO PITIA POST ZA NYUMA UTAONA
Soma zaidi
0 Comments