MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJILI *SEHEMU YA 34* Hemed alianza kuiingiza Pete ya uchumba kidoleni mwa Alaina ๐Ÿ’”๐Ÿ’” moyo wangu uliniuma kuliko kawaida๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ..

MREMBO YATIMA NA KIJANA  TAJILI *SEHEMU YA 34*  Hemed alianza kuiingiza Pete ya uchumba kidoleni mwa Alaina ๐Ÿ’”๐Ÿ’” moyo wangu uliniuma kuliko kawaida๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ..

Nilibubujikwa na machozi yasiyo na kiasi๐Ÿ’”๐Ÿ’”...baada ya Hemed kumaliza kumvisha Alaina Pete alimkumbatia wakati wamekumbatiana Alaina alitazama upande wa pili then Hemed aliangalia upande niliopo mimi.. Wakati nakwepesha macho nisiangaliane na Hemed kwa bahati mbaya aliniona alishtuka sana๐Ÿฅบ๐Ÿฅบsikutaka kuendelea kubakia pale niliondoka haraka.. Nilimkuta Romy yuko pale pale ananisubilia nilimuomba tuondoke haraka.. Romy alishangaa kwanini unalia??? Nini kimetokea Bella niambie nini kimetokea???. Kwanini unalia๐Ÿฅน๐Ÿฅน??? Sikuweza kumwambia chochote nilimwambia tu kuanzia leo kuanzia sasa hivi I'm ready to be your girlfriend๐Ÿฅบ❤️.. Really??... nikamwambia yes I love you๐Ÿฅน❤️.. Romy alinikumbatia akaniambia niliisubilia sana hii siku Bella hatimaye leo wewe ni wangu๐Ÿฅน❤️ Nakupenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments