
*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Naitwa Dainess, naishi dernmark , mimi ni mwafrica ila wazazi wangu walihamia denmark kikazi, nikiwa darasa la 7, wazazi wangu walipitia hali mbaya sana kiuchumi ikapelekea kuyumba sana, upande wangu nilikuwa na pitia wakati mgum mno kwa sababu ya rangi yangu shule nzima mwafrica nilikuwa peke yangu, walinisumbua sana, kibaya zaidi ni pale tulipokuja kuyumba nikawa nanyanyaswa na kuonewa mbele ya walimu na hakuna alienitete, siku tuliyomaliza mitihani ya kuhitimu,ni siku sitokuja kuisahau, kuna binti alinimwagia chakula changu, ukweli niripata hasira sana, nikaamua kumsukuma, uku nina hasira kwa nini kanifanyia hivyo, na sina hata pesa ya
0 Comments