
Aliondoka uku analake kichwani,mimi nilijua kabisa hii ishu ya mahakamani ndo imekufa labda atafute njia nyingine, zilipita siku tatu, ikawa imefika siku ya part, niliandaa oda yangu safi kabisa, kifupi mimi ni msafi mno, yani ata kwenye toyo nazingatia usafi wangu na toyo pia ndani kwangu ndio kabisaaa, nilivaa kigauni changu kifupi cha solo na uzuri mguu ninao, tako ndo nilipigwa pasi🫣, liko tu lakukaria, rangi nzuri haina hata kipele mwili mzima tena bora uku kunakoonekana nimefifia kidogo ila nikitoa nguo lazima udate, ninakuwa navutia kama misosi ya mtandaoni... Nilifika na viatu vyangu mwenyewe nimependeza, ila sikujitambulisha ee, naitwa Joy
0 Comments