DOCTOR BOSS ANATAKA TENA* ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA* ____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

Nililala nikajisahau mgonjwa akaingia jikoni kupika,na vile mtoto alipenda chakula cha baba, awee, niliamshwa kula, nikaona aibu napikiwa na mgonjwa,kile kihari cha aibu, kilikuwa kinamvutia sana P, akawa ananisifia kila mda, nilikula mpaka nikammalizia P yeye alikuwa bze kuniangalia,nilikuja kushtuka nishamaliza chote, nikaanza kujitetea P nisamee mi ata sielewi kwa nini ukipika wewe nakula sana... P alitabasamu akasema,hutakiwi kuniomba samahani kabisa,najisikia vizuri kuona mnapenda chakula changu, natamani mpende kila kitu changu tu, yani napenda kukutizama unavyokula kwa aibu,unanitia moyo mpishi kwa uraji wako, nafurahi hujui tu, naomba kesho nikajisalimishe nisije kutaifishwa mke, nikajikuta nacheka tu, nikainuka nikampikie, akasema hapana leo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments