SIKUJUA LECTURER NI MJEDA 3

SIKUJUA LECTURER NI MJEDA 3

Nikamshika mkono kisha nikamuambia "sweetheart naomba uwaambie maana naona kama hawaniamini, waambie ni namna gani mimi na wewe tunapendana na ahadi zote ulizonipa maana naona kama wananiona kama na mimi ni mnuka njaa mwenzao... Akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akasema "baby kumbe haukuwa umeenda nyumban mpaka sasa hivi, nilijua umeshaita uber ije ikuchukue, ila hakijaharibika kitu kwa maana anga;lau nitakuwa na wewe, maana sehemu ambayo Napata amani sana ni kuwa karibu yako najua wewe mwenyewe unalijua hilo mamaaa.. Sauti yake kuna namna ilinishtua, ilikuwa ni sauti ya yule ambae alizuia nisifanye mtihan maana ni kama ilikataa kuondoka kwenye akili yangu,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments