DOCTOR BOSS ANATAKA TENA* *_________________________________________* *SEHEMU YA SITA*

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA* *_________________________________________*  *SEHEMU YA SITA*

Nilishtuka nikainuka akanikamata mkono, kisha akasema, D naomba tuonge plz mamy🙏, nilimtizama kwa hasira, kwa hio kuongea mpaka tushikane viuno?, nisamee nimetereza tu,nilimtizama nikakaa, akaanza " D naomba tu niwe muwazi mwenzio nakupenda naomba unipe nafasi, nahitaji uwe mke wangu, aisee yani kukuheshimu kote unakuja kuniambia utumbo gani 🤔, au kwa sababu nililewa siku ile sasa unataka kutumia hicho kigezo, " No D umenielewa vibaya, mimi sijaanza kukupenda jana, nakupenda mda, nini? Huo mda mimi umenijulia wapi? " P aliogopa kusema alisema " D kwa sasa sitokwambia hilo ila jua ni kitambo sana, nakuelewa sitanii namaanisha kutoka moyoni... Ngoja nikwambie

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments