BEKI TATU ANAMTAKA MUME WANGU Sehemu ya pili

BEKI TATU ANAMTAKA MUME WANGU  Sehemu ya pili

.Jasho lilimtiririka usoni. Kelvin alibaki amesimama pale mlangoni, akitazama mwili wa Nasra ulio wazi bila hifadhi. Ngozi yake iling’aa kwa mwanga hafifu wa bulb ndogo ya chumbani, na pumzi zake tulivu zilikuwa zikicheza taratibu kifuani. “Mungu wangu…” Kelvin alinong’ona bila hiari, akijisikia damu ikipanda kwa kasi isiyo ya kawaida. Miguu yake ilihisi kama imezama sakafuni, moyo ukipiga mbio za ajabu. Alijua hakupaswa kusimama pale, hakupaswa hata kufungua mlango bila ruhusa lakini macho yake hayakutaka kuondoka. Kila kitu kilikuwa kimya… isipokuwa mapigo ya moyo wake. Nasra, kana kwamba aliweza kuhisi mtu chumbani, aligeuka taratibu kitandani. Shuka liliteleza taratibu, na sasa sehemu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments