FATE TO LOVE YOU 💓 10 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen

FATE TO LOVE YOU 💓 10  MTUNZI UHURU MEDIA    Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen

hivi inakuingia akilini kuhusu Lina kuja kutolewa na Angelo? " Bado siamini , Angelo ni wakili mkubwa sana hapa na kwa uwezo wa lina haiwezekani kabisa. " Basi kutakuwa na mtu nyuma ya hili. "Atakuwa ni nani? " Sijui. Walijadili mwishowe waliondoka bila kuwa na jibu. Stephen alienda kupanda kwenye gari yake akaendelea lakini akili yake ilikuwa ukiwaza Lina ana uhusiano gani na Angelo . " Angelo amejzana vipi na lina mpaka akamtoa ndani? Inawezekana Lina akawa na uhusiano wa kimapenzi na Angelo? Hisia za wivu zilianza kumtafuna Stephen alichukua simu yake na kupiga namba za Lina. Wakati huo Lina,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments