
. Gari hilo lilijulikana kama Benz Patent-Motorwagen, na linatambuliwa rasmi kuwa gari la kwanza la kisasa linalotumia injini ya petroli. Karl Benz alitengeneza gari hilo kwa kutumia injini ya silinda moja yenye uwezo wa 0.75 horsepower. Lilikuwa na magurudumu manne na liliendeshwa kwa kutumia petroli kama chanzo cha nishati. Alipata hata hati miliki ya uvumbuzi huo tarehe 29 Januari, 1886, hatua iliyozindua enzi mpya ya usafiri wa barabarani. Lakini pia, historia ya mafanikio haya haikamiliki bila kumtaja mkewe Bertha Benz, ambaye mwaka 1888 aliamua kuchukua gari hilo na kusafiri kilomita 106 bila kumwambia mumewe Asubuhi tulivu mwaka 1888, Bertha Benz
0 Comments