Hadithi ya Watu Wazima: Zawadi Sehemu ya 10

Hadithi ya Watu Wazima:  Zawadi Sehemu ya 10

Simulizi za john 0789 824 178 1000 Nilistuka sana, karibu nizimie. Baba Zawadi akaniangalia, akasema, “Mama Zawadi, umefuata nini hapa?” Mara akaingia mama mmoja mtu mzima pamoja na wanaume wawili. Nikatoka nikarudi jikoni, machozi yananitoka. Huyu mtu anarudi tena? Imekuwaje? Niliumia moyoni. Baba Zawadi alinifata, akanikuta nimeegemea sinki, akasema, “Zawadi, usiwe na wasiwasi, hakuna kitakachobadilika, sawa?” Sikumjibu. Akanikumbatia, akasema, “Nitafanya kila nilichokuahidi.” Sikumjibu, akasema, “Naomba uende chumbani kwako, acha kulia.” Nikasema, “Sawa.” Nikatoka, nikapita sebuleni kimya kimya, nikipanda juu hadi chumbani. Nilijawa na mawazo—nimeishi kwa raha mwezi mmoja tu, shida zinarudi! Nikaingia chumbani, nikampigia Neema, nikamweleza. Akasema, “Shoga, hapo shida

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments