MY LUNA SEHEMU YA : 08

MY LUNA SEHEMU YA : 08

Simulizi za john 0789 824 178 1000 Usiku ulikuwa mrefu kwa Leila. Alilala akiwa na mawazo mengi kichwani. Hakukuwa na tumaini lolote kutoka kwa Zayn. Na kuhusu kumpigia Mr Ghali hakutaka hata kufikiria. Alijua wazi itamfanya aonekane mbaya zaidi machoni pa Zayn😩. Alichukua chupa ya maji, akamimina kwenye kikombe kidogo, kisha akameza mkate mkavu uliokuwa umebakia kama slesi mbili ivii. Hicho ndicho kilikua chakula chake cha kila wakati. Zayn alikata kila aina ya manunuzi nyumbani. Hakukuwa hata na sukari, achilia mbali mchele au unga. Trust me ninapo sema Zayn alijua kumkomesha Leila💔. Asubuhi ilipofika, Leila aliamka kabla hata ya jogoo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments