HAIZIMI 04 ❤❤.

HAIZIMI 04  ❤❤.

ENDELEA........... "Hapana sijasema hivyo ila nataka tu kujaribu kuona kama nitapona, naomba nisaidie kwa hilo Sandra twende ukani.....pe mara moja tu na baada ya hapo sitakusumbua tena nitakuacha uendelee na maisha yako" Mwonekano wa Oscar ulimtia huruma mpaka Sandra mwenyewe na kujikuta akimhurumia. "Naku...pa mara moja tu kwakuwa uliwahi kuwa beb wangu sasa ole wako uje unisumbue tena!" "Sitakusumbui!" Sandra aliingia ndani na kujiandaa na baada ya hapo wakatoka wote na kuelekea kwenye lo..dge ya mbali kidogo, moyoni Oscar aliona kabisa Sandra hausiki na kumfanya yeye kuwa kwenye hali hiyo kwa jinsi alivyokuwa ila alitaka kuthibitisha kama alivyopewa maelekezo na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments