HAIZIMI 05 ❤❤.

HAIZIMI 05  ❤❤.

ENDELEA.......... "Kaka mbona unajiumiza bure kwa kutamani mali za watu" "Unamaana gani!?" "Angalia hapo!" Alimuonesha ilipo bakora yake na Oscar alielewa anachokimaanisha msafiri mwenzake. "Sorry!" Hakutaka kutoa maelezo kama yupo kituoni tena mbele ya mtu aliyekuwa hamjui zaidi ya kulibana rungu lake vizuri ili lisiendelee kumkera. Safari iliendelea na baadaye alianza kusikia maumivu ya misuli kama asikiavyo siku zote hivyo alichukua vidonge na kuvimeza, Safari haikuwa fupi kwa abiria wote waliokuwa ndani ya gari hilo kwani mpaka giza linaingia bado gari ilikuwa ikikata kilomita za kutosha kuutafta mkoa waliokuwa wakienda na binti aliyekaa na Oscar karibu alivyopiga jicho aliona tena

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments