HAIZIMI 12 ❤❤.

HAIZIMI 12  ❤❤.

ENDELEA......... na kusogea mpaka walipokuwa wao. "Sam achaa!" Mwanamama alipiga kelele na Oscar aligeuka na kumuona akija na panga kwa kasi kwa lengo la kuwakata. Alirukia pembeni haraka na Sam alimkosa na panga alilokuwa nalo na alipotaka kumfata Mama yake alimsogelea na kuanza kumzuia. "Achaaa!" "Umezidi yaani unakuja kufany..ia humu kwenye nyumba yetu? leo nauuwa wote" Oscar baada ya kusikia mambo ya kuuwana pale pale nguvu zilikuja, alisogea haraka na kumpokonya panga alilokuwa nalo. "Lete panga langu nikuoneshe kazi!" "Toka nje haraka Sam kabra sijakufukuza hapa nyumbani jumla" "Bora niondoke ila sio kuendelea kuishi kwenye hili dangu...lo" Alitoka nje kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments