
na vijiji jirani walikataa kwa pamoja hapana na sisi hatujawahi kuona kabisa janga kama hili ..endelea sio tu kukataa bali ni kwa mshangao na sauti za hofu kubwa mwenyekiti aliendelea kuongea kwa dakika kadhaa hivi ndipo kukawa na hali kama ya mvua si mvua kama giza furani hivi mwenyekiti aliomba vijana wachimbe mashimo na kuongeza maturubai kazi hiyo ilifanyika kwa dakika chache sana kulingana na uwingi wa watu hapa msibani leo Hali ya hewa ikawa inabadilika kwa kasi sana baridi likawa linapuliza msimu huu ni wa baridi hapa msindo linachapa kweli kweli Ulianza kuonekana moshi kwa mbali sana ukisogelea maeneo
0 Comments