MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI* *11....15* *________________________________________* *SEHEMU YA 11* Macho yalinitoka na kubaki nikimshangaa tu Kama Nimeona kitu cha ajabu vile. “Oooooh Khadija Karibu sana “

Mume wa Neha alimkaribisha Khadija kwa bashasha ya hali ya juu. “Ni Nani Yao kwani ?” Nilijiuliza kimoyomoyo maana walionekana kumchangamkia sana. “Asante boss “ Alijibu Khadija uku akikwepesha macho yake asiweze kuniangalia. Neha akasogea Karibu yangu na kuzungumza. “Shamsa, huyu ni Khadija ni personal secretary wa mume wangu Mara nyingi uwa anakuja hapa Nyumbani Kwahiyo tarajia kumuona Mara kwa Mara” Eeeeeh 😳 Yaani huyu msichana Kwahiyo kila kona ninayoenda na yeye yupo si ndio 🥹. “Aaah Khadija huyu ni Shamsa dada yangu kipenzi kabisa, Yaani huyu ndio kila kitu kwangu “ Alizungumza Neha na kuniachia busu kwenye shavu langu,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments