HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 4

HAKU HUKO MI SIWEZI 😭😭😭🔥🔥🔥 Part 4

Basi safari iliendelea huku nikiwa na mawazo mengi kumbukumbu nyingi sana niki mkumbuka mamdogo enzi za uhai wake kwenye gari kulikuwa na dereva pamoja na watoto wawili nyuma ya siti yangu upande wa dereva kulikuwa na mbaba mmoja ambae alikuwa busy sana na simu tulifika Njombe dereva akasimamisha gari na kusema dada tupate chakula kidogo nika mjibu mi sijisikii kula kabisa yule mubaba akasema dada pole kwa matatizo ila kifo ni ibada inakupaswa kushukuru na kumuombea marehemu aende salama aliongea maneno mengi sana ya kunifaliji hadi nika jiisi niko poa kidogo nikashuka nao tuliingia hotelini pale njombe ni hoteli kubwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments