MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Pili ( 2 )

MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Pili  ( 2 )

************* @Kila Mtu 💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝 .............iliposhia "Wewe ni kama baamedi nimekununua tu mie siwezi oa mwanamke mbaya kama wewe mambo yote kayataka mama oa matokeo yake ndo hivi navyokuona kama malaya anayejiuza anasubiria ela yangu ili twende akanipe raha gafra! alinirukia alianza kunichania nguo uku akinitukana kwa matusi mbali mbali ya nguoni sikujua sababu..ya haya yote alinivamia akaniingilia kinguvu alipomaliza akaishia kutukana uku akinitemea mate baada ya dakika kadhaa akapitiwa na usingizi,kusema ukweli kwa siku hii sikupata usingizi kabisa nilikuwa nafikiria maisha yatakuaje kama ndoa zote zinakuaga ivi au ni mimi tu napitia haya au kuna wenzangu pia Ningeenda nyumbani lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments