NILIKUWA NAJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA (Maudhui ya watu wazima. Imeandikwa kwa tahadhari ya uelewa na kutoa funzo.) Sehemu ya 3

NILIKUWA NAJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA  (Maudhui ya watu wazima. Imeandikwa kwa tahadhari ya uelewa na kutoa funzo.)  Sehemu ya 3

Nilikuwa nimeduwaa, bado nikishikilia ile bahasha au kifungashio ambacho mume wangu kaleta lakini macho yangu yakiwa kwa mume wangu. Sauti yake ya “nisamehe mke wangu...” ilinihisi kama sindano kali moyoni.maana mi nilifanya kwa hasira na kama namna ya kumkomoa yeye na kaja kuniomba msamaha Alinisogelea na kuniambia: “Najua sikuwa sawa, lakini nilifikiria sana… familia yetu ni muhimu. Nimerudi kwa ajili yenu.”Aliongea kwa uchungu kiasi kwamba ambacho kinaniuma sana ni kumsaliti yeye ningeweza hatakuomba chakula kwa mama Sarah lakini nimeenda mbali sana Nilitabasamu kwa mbali lakini ndani ya moyo nilikuwa nimevunjika vipande vipande. Nilijisikia mchafu, mdanganyifu, na mwenye hatia isiyoelezeka. Lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments